Surat Fussilat, aya 24

41:24

فَإِن يَصۡبِرُواْ فَٱلنَّارُ مَثۡوٗى لَّهُمۡۖ وَإِن يَسۡتَعۡتِبُواْ فَمَا هُم مِّنَ ٱلۡمُعۡتَبِينَ ٢٤

Fa in yasbirū fan-nāru mathwal lahum wa in yasta'tibū famā hum minal-mu'tabīn

Basi wakisubiri Moto ndio maskani yao. Na wakiomba radhi hawakubaliwi. 24

Maelezo ya chini

24 Basi hata wakijizuia machungu yao, Moto ndio mwisho wao, na makaazi yao ya daima. Na wakitaka kumridhi Mwenyezi Mungu sasa hawakubaliwi hayo matakwa yao.