تَنزِيلٞ مِّنَ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ ٢
Tanzīlum minar-rahmānir-rahīm
Uteremsho huu umetoka kwa Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu. 2
Maelezo ya chini
2 Kitabu hichi ni mteremsho wa namna ya peke yake, kutokana na Mneemeshaji wa neema kubwa na neema ndogo.