فَذَرۡهُمۡ يَخُوضُواْ وَيَلۡعَبُواْ حَتَّىٰ يُلَٰقُواْ يَوۡمَهُمُ ٱلَّذِي يُوعَدُونَ ٨٣
Fadharhum yakhūdū wayal'abū hattā yulāqū yawmahumul-ladhī yū'adūn
Basi waache wapige porojo wakicheza mpaka wakutwe na hiyo siku yao waliyo ahidiwa. 83
Maelezo ya chini
83 Basi waachilie wazame katika upotovu wao, na wacheze katika dunia yao, wayaache mambo yenye maana, wala wasiyashughulikie, mpaka iwajie Siku ya Kiyama waliyo ahidiwa, ipate kila nafsi kulipwa kwa iliyo yachuma.