Surat Az-Zukhruf, aya 78

43:78

لَقَدۡ جِئۡنَٰكُم بِٱلۡحَقِّ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَكُمۡ لِلۡحَقِّ كَٰرِهُونَ ٧٨

Laqad ji'nākum bil-haqqi walākinna aktharakum lil-haqqi kārihūn

Kwa yakini tulikuleteeni Haki, lakini wengi katika nyinyi mlikuwa mnaichukia Haki. 78

Maelezo ya chini

78 Mwenyezi Mungu Mtukufu atawaambia kwa kuwarudi: Nyinyi alikujilieni Mtume wetu, enyi watu wa Makka, kukuleteeni Dini ya Haki. Wakaamini wachache, na wengi wenu mkakataa. Nao hawaipendi Haki.