Surat Az-Zukhruf, aya 62

43:62

وَلَا يَصُدَّنَّكُمُ ٱلشَّيۡطَٰنُۖ إِنَّهُۥ لَكُمۡ عَدُوّٞ مُّبِينٞ ٦٢

Walā yasuddannakumush-shaytānu innahū lakum 'aduwwum mubīn

Wala asikuzuilieni Shet'ani. Hakika yeye ni adui yenu wa dhaahiri. 62

Maelezo ya chini

62 Wala asikuzuilieni Shetani kuifuata Njia Iliyo Nyooka. Hakika huyo ni adui aliye dhaahiri uadui wake.