Surat Az-Zukhruf, aya 60

43:60

وَلَوۡ نَشَآءُ لَجَعَلۡنَا مِنكُم مَّلَٰٓئِكَةٗ فِي ٱلۡأَرۡضِ يَخۡلُفُونَ ٦٠

Walaw nashā'u laja'alnā minkum malā'ikatan fil-ardi yakhlufūn

Na tungeli penda tungeli wafanyia miongoni mwenu Malaika katika ardhi wakifuatana. 60

Maelezo ya chini

60 Na lau tungeli taka, tungeli wageuza baadhi yenu, enyi watu, mkawa ni Malaika mkifuatana katika ardhi, kama wanavyo kufuateni watoto wenu, mjue kwamba Malaika wananyenyekea kufuata kudra ya Mwenyezi Mungu. Basi vipi wao wastahiki Ungu?