فَلَمَّا جَآءَهُم بِـَٔايَٰتِنَآ إِذَا هُم مِّنۡهَا يَضۡحَكُونَ ٤٧
Falammā jā'ahum bi'āyātinā idhā hum minhā yadhakūn
Lakini alipo wajia na Ishara zetu wakaingia kuzicheka. 47
Maelezo ya chini
47 Alipo wajia kwa miujiza ya kuthibitisha Utume wake mara wakampokea kwa kumcheka, na kumfanyia tashtiti, na kumcheza shere, bila ya kuzingatia maneno yake.