Surat Az-Zukhruf, aya 30

43:30

وَلَمَّا جَآءَهُمُ ٱلۡحَقُّ قَالُواْ هَٰذَا سِحۡرٞ وَإِنَّا بِهِۦ كَٰفِرُونَ ٣٠

Walammā jā'ahumul-haqqu qālū hādhā sihrun wa innā bihī kāfirūn

Na ilipo wafikia Haki wakasema: Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa. 30

Maelezo ya chini

30 Na ilipo teremka Qur'ani kuwaongoza kwenye Tawhid wakaongeza juu ya ushirikina wao kuita Qur'ani : "uchawi" na "kiini macho", kwa kejeli. Na wakashikilia ukafiri wao.