Surat Az-Zukhruf, aya 3

43:3

إِنَّا جَعَلۡنَٰهُ قُرۡءَٰنًا عَرَبِيّٗا لَّعَلَّكُمۡ تَعۡقِلُونَ ٣

Innā ja'alnāhu qur'ānan 'arabiyyal la'allakum ta'qilūn

Hakika Sisi tumeifanya Qur'ani kwa Kiarabu ili mfahamu. 3

Maelezo ya chini

3 Hakika Sisi tumeijaalia Qur'ani iwe kwa lugha ya Kiarabu, ili mweze kuelewa umuujiza wake, na mweze kuzingatia maana zake.