Surat Az-Zukhruf, aya 2

43:2

وَٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡمُبِينِ ٢

Wal-kitābil-mubīn

Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha. 2

Maelezo ya chini

2 Mwenyezi Mungu, Subhanahu, anaapa kwa Qur'ani inayo eleza wazi yale iliyo yakusanya katika mambo ya itikadi na hukumu.