Surat Az-Zukhruf, aya 14

43:14

وَإِنَّآ إِلَىٰ رَبِّنَا لَمُنقَلِبُونَ ١٤

Wa innā ilā rabbinā lamunqalibūn

Na hakika sisi tutarudi kwa Mola wetu Mlezi. 14

Maelezo ya chini

14 Na hakika sisi ni wenye kurejea kwa Muumba wetu baada ya maisha haya, ili ahisabiwe kila mmoja kwa iliyo tanguliza mikono yake.