فَذَاقَتۡ وَبَالَ أَمۡرِهَا وَكَانَ عَٰقِبَةُ أَمۡرِهَا خُسۡرًا ٩
Fadhāqat wabāla amrihā wakāna 'āqibatu amrihā khusrā
Basi ikauonja ubaya wa mambo yake; na mwisho wa mambo yao ilikuwa khasara. 9
Maelezo ya chini
9 Wakagugumia malipo maovu ya mambo yao. Na ukawa mwisho wa mambo yao ni kukhasiri kukubwa mno.