Surat Ash-Shu'ara, aya 23

26:23

قَالَ فِرۡعَوۡنُ وَمَا رَبُّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٢٣

Qāla fir'awnu wamā rabbul-'ālamīn

Firauni akasema: Na nani huyo Mola Mlezi wa walimwengu wote? 23

Maelezo ya chini

23 Firauni akasema: Na nini hizo sifa za Mola Mlezi wa walimwengu wote ambaye unakithiri kumtaja, na wewe unadai kuwa ni Mtume wake, na hali sisi hatujui lolote khabari zake?