أَفَرَءَيۡتَ إِن مَّتَّعۡنَٰهُمۡ سِنِينَ ٢٠٥
Afara'ayta im matta'nāhum sinīn
Waonaje kama tukiwastarehesha kwa miaka,. 205
Maelezo ya chini
205 Je, umefikiri ukajua, kama Sisi tuliwastarehesha kwa uhai kwa muda wa miaka mingi pamoja na maisha mema?