Surat Ash-Shu'ara, aya 192

26:192

وَإِنَّهُۥ لَتَنزِيلُ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ١٩٢

Wa innahū latanzīlu rabbil-'ālamīn

Na bila ya shaka hii ni Uteremsho wa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 192

Maelezo ya chini

192 Na hakika hii Qur'ani iliyo tajwa ndani yake visa vya kweli imeteremshwa kutoka kwa Mwenye kuumba walimwengu wote, Mwenye kumiliki mambo yao, na Mlezi wao. Basi khabari zake ni za kweli. Na hukumu yake inatimizwa mpaka Siku ya Kiyama.