Surat Ash-Shu'ara, aya 137

26:137

إِنۡ هَٰذَآ إِلَّا خُلُقُ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٣٧

In hādhā illā khuluqul-awwalīn

Haya si chochote ila ni mtindo wa watu wa tokea zamani. 137

Maelezo ya chini

137 Haya uliyo tuletea si lolote ila ni uwongo na upotovu wa watu wa zamani. Wao wamezoea kuzua kama hivyo. Kwa hivyo sisi hatutaacha tuliyo kuwa nayo.