إِنِّيٓ أَخَافُ عَلَيۡكُمۡ عَذَابَ يَوۡمٍ عَظِيمٖ ١٣٥
Innī akhāfu 'alaykum 'adhāba yawmin 'azīm
Hakika mimi ninakukhofieni adhabu ya Siku Kubwa. 135
Maelezo ya chini
135 Mimi nina khofu asije Mwenyezi Mungu akakuteremshieni adhabu kali hapa duniani, na Akhera akakutieni katika Moto wa Jahannamu kwa sababu ya ujabari wenu na starehe alizo kustarehesheni Mwenyezi Mungu.