Surat As-Sajdah, aya 28

32:28

وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡفَتۡحُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ٢٨

Wayaqūlūna matā hādhal-fathu in kuntum sādiqīn

Wanasema: Ushindi huu ni lini, kama mnasema kweli? 28

Maelezo ya chini

28 Na washirikina wanakwambia wewe na Waumini: Wakati gani Mwenyezi Mungu atakufungulieni mpate ushindi? Twambieni wakati wake ikiwa nyinyi ni wasema kweli.