Surat As-Saffat, aya 157

37:157

فَأۡتُواْ بِكِتَٰبِكُمۡ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ١٥٧

Fa tū bikitābikum in kuntum sādiqīn

Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli. 157

Maelezo ya chini

157 Basi leteni hoja zenu, ikiwa mnazo hoja za katika Kitabu cha mbinguni, kama nyinyi ni wakweli katika hayo myasemayo na mnayo yahukumia.