Surat As-Saffat, aya 150

37:150

أَمۡ خَلَقۡنَا ٱلۡمَلَٰٓئِكَةَ إِنَٰثٗا وَهُمۡ شَٰهِدُونَ ١٥٠

Am khalaqnal-malā'ikata ināthan wahum shāhidūn

Au tumewaumba Malaika kuwa ni wanawake, na wao wakashuhudia?. 150

Maelezo ya chini

150 Ati tumewaumba Malaika kuwa ni wanawake, na wao hao makafiri waliona kwa macho yao kuumba kwao, na ndio wakasimulia walio yaona?