Surat As-Saffat, aya 131

37:131

إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ١٣١

Innā kadhālika najzil-muhsinīn

Hakika hivyo ndivyo tunavyo walipa walio wema. 131

Maelezo ya chini

131 Hakika mfano wa malipo tuliyo mlipa Ilyas tunamlipa kila aliye mwema kwa sababu ya wema wake.