Surat As-Saffat, aya 121

37:121

إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ١٢١

Innā kadhālika najzil-muhsinīn

Hakika hivyo ndivyo tunavyo walipa walio wema. 121

Maelezo ya chini

121 Hakika mfano wa malipo tuliyo mjazi Musa na Haruni ndivyo tunavyo wajazi wote walio wema.