Surat As-Saffat, aya 119

37:119

وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِمَا فِي ٱلۡأٓخِرِينَ ١١٩

Wataraknā 'alayhimā fil-ākhirīn

Na tukawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. 119

Maelezo ya chini

119 Na tukabakisha sifa njema za kutajika wote wawili hao kwa watu wengineo walio kuja baada yao.