وَءَاتَيۡنَٰهُمَا ٱلۡكِتَٰبَ ٱلۡمُسۡتَبِينَ ١١٧
Wa ātaynāhumal-kitābal-mustabīn
Na tukawapa wawili hao Kitabu kinacho bainisha. 117
Maelezo ya chini
117 Na tukampa Musa na Haruni Kitabu kilicho wazi chenye kubainisha hukumu za Dini, nacho ni Taurati.