كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ١١٠
Kadhālika najzil-muhsinīn
Hivi ndivyo tunavyo walipa wanao fanya mema. 110
Maelezo ya chini
110 Mfano wa malipo kama haya ya kuwakinga na balaa ndivyo tunavyo walipa walio wema katika kufuata amri za Mwenyezi Mungu.