Surat As-Saffat, aya 108

37:108

وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِ فِي ٱلۡأٓخِرِينَ ١٠٨

Wataraknā 'alayhi fil-ākhirīn

Na tukamwachia (sifa njema) kwa watu walio kuja baadaye. 108

Maelezo ya chini

108 Na tukaacha atajike kwa sifa nzuri katika ndimi za walio kuja baada yake.