Surat As-Saffat, aya 106

37:106

إِنَّ هَٰذَا لَهُوَ ٱلۡبَلَٰٓؤُاْ ٱلۡمُبِينُ ١٠٦

Inna hādhā lahuwal-balā'ul-mubīn

Hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri. 106

Maelezo ya chini

106 Hakika majaribio haya tuliyo mjaribia Ibrahim na mwanawe bila ya shaka ni majaribio yaliyo dhihirisha undani wa Imani yao na yakini yao kwa Mola Mlezi wa walimwengu.