رَبِّ هَبۡ لِي مِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ١٠٠
Rabbi hab lī minas-sālihīn
Ewe Mola wangu Mlezi! Nitunukie aliye miongoni mwa watenda mema. 100
Maelezo ya chini
100 Ewe Mola wangu Mlezi! Nipe dhuriya walio wema wa vitendo, wasimamie hii kazi ya wito kuwaitia watu kwako Wewe, baada yangu.