Surat An-Nur, aya 7

24:7

وَٱلۡخَٰمِسَةُ أَنَّ لَعۡنَتَ ٱللَّهِ عَلَيۡهِ إِن كَانَ مِنَ ٱلۡكَٰذِبِينَ ٧

Wal-khāmisatu anna la'natallāhi 'alayhi in kāna minal-kādhibīn

Na mara ya tano kwamba laana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake ikiwa ni miongoni mwa waongo. 7

Maelezo ya chini

7 Na mara ya tano aseme kuwa yeye anastahiki kutengwa na rehema ya Mwenyezi Mungu akiwa ni mwenye kusema uwongo kwa hayo.