Surat An-Nur, aya 49

24:49

وَإِن يَكُن لَّهُمُ ٱلۡحَقُّ يَأۡتُوٓاْ إِلَيۡهِ مُذۡعِنِينَ ٤٩

Wa in yakul lahumul-haqqu ya'tū ilayhi mudh'inīn

Na ikiwa haki ni yao, wanamjia kwa kut'ii. 49

Maelezo ya chini

49 Ama wakijua kuwa haki iko upande wao basi humjia Mtume mbio mbio ili awahukumu baina yao na makhasimu zao.