Surat An-Nisa, aya 156

4:156

وَبِكُفۡرِهِمۡ وَقَوۡلِهِمۡ عَلَىٰ مَرۡيَمَ بُهۡتَٰنًا عَظِيمٗا ١٥٦

Wabikufrihim waqawlihim 'alā maryama buhtānan 'azīmā

Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia kwao Maryamu uwongo mkubwa. 156

Maelezo ya chini

156 Na Mwenyezi Mungu amewaghadhibikia Mayahudi kwa sababu ya kufru yao na kumzulia Maryam uzushi mkubwa.