أُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡكَٰفِرُونَ حَقّٗاۚ وَأَعۡتَدۡنَا لِلۡكَٰفِرِينَ عَذَابٗا مُّهِينٗا ١٥١
Ulā'ika humul-kāfirūna haqqan wa a'tadnā lil-kāfirīna 'adhābam muhīnā
Hao ndio makafiri kweli. Na tumewaandalia makafiri adhabu ya kudhalilisha. 151
Maelezo ya chini
151 Hawa wote ndio walio ungama ukafiri wao ulio wazi. Na Mwenyezi Mungu amekwisha waahidi wao na mifano ya hao adhabu kali yenye kudhalilisha.