وَمَكَرُواْ مَكۡرٗا وَمَكَرۡنَا مَكۡرٗا وَهُمۡ لَا يَشۡعُرُونَ ٥٠
Wamakarū makran wamakarnā makran wahum lā yash'urūn
Basi wakapanga mipango yao, na Sisi tukapanga mipango yetu, na wao hawatambui. 50
Maelezo ya chini
50 Walipanga kumuuwa Swaleh na ahali zake, na Mwenyezi Mungu nyuma yao kapanga kumwokoa Nabii wake na ahali zake, na kuwateketeza wao, na hali wao hata hawatambui.