Surat An-Naml, aya 35

27:35

وَإِنِّي مُرۡسِلَةٌ إِلَيۡهِم بِهَدِيَّةٖ فَنَاظِرَةُۢ بِمَ يَرۡجِعُ ٱلۡمُرۡسَلُونَ ٣٥

Wa innī mursilatun ilayhim bihadiyyatin fanāziratu bima yarji'ul-mursalūn

Lakini mimi nitawapelekea zawadi, nami nitangoja watakayo rudi nayo wajumbe. 35

Maelezo ya chini

35 Na mimi kwa kupendelea salama na uzima nitampelekea zawadi Sulaiman na kaumu yake, na nitatazama wajumbe watarejea na nini - wataikubali zawadi au watairudisha?