Surat An-Naml, aya 2

27:2

هُدٗى وَبُشۡرَىٰ لِلۡمُؤۡمِنِينَ ٢

Hudan wabushrā lil-mu'minīn

Uwongofu na bishara kwa Waumini! 2

Maelezo ya chini

2 Na hii Qur'ani ni Uwongofu wa kuwaahidi Waumini waifuate njia ya kheri, na kufuzu duniani na Akhera, na inawabashiria kuwa watapata malipo mazuri.