Surat An-Najm, aya 50

53:50

وَأَنَّهُۥٓ أَهۡلَكَ عَادًا ٱلۡأُولَىٰ ٥٠

Wa annahū ahlaka 'ādanil-ūlā

Na kwamba Yeye ndiye aliye waangamiza A'di wa kwanza, 50

Maelezo ya chini

50 Na Yeye ndiye aliye wateketeza kina A'di wa mwanzo, kaumu ya Nabii Hudi. Na akawateketeza Thamudi, kaumu ya Nabii Saleh. Hakuwabakisha.