Surat An-Nahl, aya 82

16:82

فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّمَا عَلَيۡكَ ٱلۡبَلَٰغُ ٱلۡمُبِينُ ٨٢

Fa in tawallaw fa innamā 'alaykal-balāghul-mubīn

Basi wakikengeuka lilio juu yako wewe ni kufikisha ujumbe waziwazi. 82

Maelezo ya chini

82 Wakikupuuza, ewe Nabii, hao unao waita wafuate Uislamu, basi wewe huna jukumu kwa mapuuza yao. Haikulazimu wewe ila kufikisha ujumbe kwa uwazi, na hayo umekwisha fanya.