Surat An-Nahl, aya 6

16:6

وَلَكُمۡ فِيهَا جَمَالٌ حِينَ تُرِيحُونَ وَحِينَ تَسۡرَحُونَ ٦

Walakum fīhā jamālun hīna turīhūna wahīna tasrahūn

Na wanakupeni furaha pale mnapo warudisha jioni na mnapo wapeleka malishoni asubuhi. 6

Maelezo ya chini

6 Na mnapata kwao raha na furaha mnapo waona wanarejea kutoka machungani na matumbo yao na viwele vimejaa, na mnapo toka nao kwenda makondeni na machungani wakikimbilia malisha yao.