Surat An-Nahl, aya 58

16:58

وَإِذَا بُشِّرَ أَحَدُهُم بِٱلۡأُنثَىٰ ظَلَّ وَجۡهُهُۥ مُسۡوَدّٗا وَهُوَ كَظِيمٞ ٥٨

Wa idhā busshira ahaduhum bil-unthā zalla wajhuhū muswaddan wahuwa kazīm

Na mmoja wao akibashiriwa kwa msichana, uso wake unasawijika,naye kajaa chuki. 58

Maelezo ya chini

58 Na akiambiwa mmoja wao kwamba amepata mtoto wa kike, uso wake unasawijika kwa huzuni, naye amejaa hasira na amekasirika.