Surat An-Nahl, aya 46

16:46

أَوۡ يَأۡخُذَهُمۡ فِي تَقَلُّبِهِمۡ فَمَا هُم بِمُعۡجِزِينَ ٤٦

Aw ya'khudhahum fī taqallubihim famā hum bimu'jizīn

Au hatawashika katika nyendo zao, na wala hawataponyoka? 46

Maelezo ya chini

46 Au ikawahiliki kati ya nyendo zao katika nchi kwa ajili ya biashara nao wapo mbali na makwao, hata wasiweze kuikwepa adhabu ya Mwenyezi Mungu? Kwani Yeye haemewi na chochote akitakacho!