Surat An-Nahl, aya 117

16:117

مَتَٰعٞ قَلِيلٞ وَلَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمٞ ١١٧

Matā'un qalīlun walahum 'adhābun alīm

Ni starehe ndogo, nao watapata adhabu chungu. 117

Maelezo ya chini

117 Wakiendelea kufuata matamanio yao ya kidunia, basi hakika starehe yao hiyo ni chache na haina dawamu, na Akhera watapata adhabu kali.