Surat Al-Waqi'ah, aya 91

56:91

فَسَلَٰمٞ لَّكَ مِنۡ أَصۡحَٰبِ ٱلۡيَمِينِ ٩١

Fasalāmul laka min ashābil-yamīn

Basi ni Salamu kwako uliye miongoni mwa watu wa upande wa kulia. 91

Maelezo ya chini

91 Basi ataambiwa kwa maamkio na takrima: Unapewa salamu kutokana na watu wa kuliani.