فَشَٰرِبُونَ شُرۡبَ ٱلۡهِيمِ ٥٥
Fashāribūna shurbal-hīm
Tena mtakunywa kama wanavyo kunywa ngamia wenye kiu. 55
Maelezo ya chini
55 Na mtakunywa kwa wingi na pupa kama anavyo kunywa ngamia mwenye kiu kisicho katika kiu chake kwa maji.