Surat Al-Waqi'ah, aya 50

56:50

لَمَجۡمُوعُونَ إِلَىٰ مِيقَٰتِ يَوۡمٖ مَّعۡلُومٖ ٥٠

Lamajmū'ūna ilā mīqāti yawmim ma'lūm

Bila ya shaka watakusanywa kwa wakati wa siku maalumu. 50

Maelezo ya chini

50 Nyote mtakusanywa katika wakati wa siku malumu, na wala hamtoipita.