Surat Al-Waqi'ah, aya 3

56:3

خَافِضَةٞ رَّافِعَةٌ ٣

Khāfidatur rāfi'ah

Literemshalo linyanyualo! 3

Maelezo ya chini

3 Kiyama hicho kitawateremsha chini walio waovu, na kitawanyanyua juu walio wema.