Surat Al-Waqi'ah, aya 29

56:29

وَطَلۡحٖ مَّنضُودٖ ٢٩

Watalhim mandūd

Na migomba iliyo pangiliwa, 29

Maelezo ya chini

29 Na migomba iliyo pangika na ndizi zake zimepandana juu ya mikungu,