Surat Al-Waqi'ah, aya 15

56:15

عَلَىٰ سُرُرٖ مَّوۡضُونَةٖ ١٥

'Alā sururim mawdūnah

Watakuwa juu ya viti vya fakhari vilivyo tonewa. 15

Maelezo ya chini

15 Juu ya viti au vitanda vilivyo nakishiwa kwa nakshi za vito vya thamani,