ثُمَّ ذَهَبَ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِۦ يَتَمَطَّىٰٓ ٣٣
Thumma dhahaba ilā ahlihī yatamattā
Kisha akenda kwa ahali zake kwa matao. 33
Maelezo ya chini
33 Na akatoka kwenda kwa watu wake wa nyumbani kwa maringo na kujitapa.