كَلَّا بَلۡ تُحِبُّونَ ٱلۡعَاجِلَةَ ٢٠
Kallā bal tuhibbūnal-'ājilah
Hasha! Bali nyinyi mnapenda maisha ya duniani, 20
Maelezo ya chini
20 Wacheni kukanya kufufuliwa, na hilo ni jambo la kweli. Lakini nyinyi mnaipenda dunia na starehe zake,