Surat Al-Qiyamah, aya 10

75:10

يَقُولُ ٱلۡإِنسَٰنُ يَوۡمَئِذٍ أَيۡنَ ٱلۡمَفَرُّ ١٠

Yaqūlul-insānu yawma'idhin aynal-mafarr

Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio? 10

Maelezo ya chini

10 Mtu hapo atasema: Yako wapi makimbilio kuikimbia hii adhabu?